CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 20
Andika jina la kifaa hiki.
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

21. Andika jina la kifaa hiki.
- APanga
- BShoka
- CReki
- DNyundo.
Answer
C. Reki
Kifaa chenye mpini mrefu na meno mengi upande mmoja ni reki. Hutumika kukusanya takataka na kusawazisha udongo shambani.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi ifuatayo kwa wingi. Yeye ni mtoto mwema.Question 21
- Chagua kitenzi katika sentensi hii. Abiria amewasili sokoni kwaoQuestion 22
- Neno 'Bendera' lina silabi ngapi?Question 23
- Mwezi wa kumi wa mwaka huitwaje?Question 24
- Mtu anayetengeza vitu kwa kutumia mbao kama kiti huitwa nani?Question 25
- Mchoro huu una maana gani?Question 26