CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 19
Chagua neno sahihi la pengo la 20.
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu hiki kisha ujaze mapengo 16 - 20 kwa kutumia neno sahihi kati ya yale uliyopewa.
Halima ___16___ darasa la nne. Shule yao ina bustani ___17___ maua. Bustani hili lina maua meupe, mekundu na ya kijani. Wanafunzi humwagilia ___18___ maua kila siku. Halima amejifunza mambo ya kutunza bustani la maua. Amepanda maua nyumbani kwao. Amefundisha mama ___19___ kutunza bustani hilo la maua. Nyumbani ___20___ kunapendeza.
20. Chagua neno sahihi la pengo la 20.
- Apao
- Bkwao
- Cyao
- Dchao
Answer
B. kwao
Mahali pa ndani au kwa jumla (nyumbani) huchukua kiambishi ku-, kama "kunapendeza". Kwa hivyo tunasema "Nyumbani kwao kunapendeza".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Andika jina la kifaa hiki.Question 20
- Andika sentensi ifuatayo kwa wingi. Yeye ni mtoto mwema.Question 21
- Chagua kitenzi katika sentensi hii. Abiria amewasili sokoni kwaoQuestion 22
- Neno 'Bendera' lina silabi ngapi?Question 23
- Mwezi wa kumi wa mwaka huitwaje?Question 24
- Mtu anayetengeza vitu kwa kutumia mbao kama kiti huitwa nani?Question 25