CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 22
Chagua kitenzi katika sentensi hii. Abiria amewasili sokoni kwao
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
23. Chagua kitenzi katika sentensi hii.
Abiria amewasili sokoni kwao
- AAbiria
- BAmewasili
- CSokoni
- DKwao.
Answer
B. Amewasili
Kitenzi ni neno linaloonyesha kitendo. Katika sentensi hii, kitendo ni "amewasili".