CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 18
Chagua neno sahihi la pengo la 19.
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu hiki kisha ujaze mapengo 16 - 20 kwa kutumia neno sahihi kati ya yale uliyopewa.
Halima ___16___ darasa la nne. Shule yao ina bustani ___17___ maua. Bustani hili lina maua meupe, mekundu na ya kijani. Wanafunzi humwagilia ___18___ maua kila siku. Halima amejifunza mambo ya kutunza bustani la maua. Amepanda maua nyumbani kwao. Amefundisha mama ___19___ kutunza bustani hilo la maua. Nyumbani ___20___ kunapendeza.
19. Chagua neno sahihi la pengo la 19.
- Ayake
- Bkwake
- Czake
- Dlake
Answer
A. yake
"Mama" ni wa ngeli ya A-WA, kwa hivyo tunasema "mama yake".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno sahihi la pengo la 20.Question 19
- Andika jina la kifaa hiki.Question 20
- Andika sentensi ifuatayo kwa wingi. Yeye ni mtoto mwema.Question 21
- Chagua kitenzi katika sentensi hii. Abiria amewasili sokoni kwaoQuestion 22
- Neno 'Bendera' lina silabi ngapi?Question 23
- Mwezi wa kumi wa mwaka huitwaje?Question 24