naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 16

Chagua neno sahihi la pengo la 17.

From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Soma kifungu hiki kisha ujaze mapengo 16 - 20 kwa kutumia neno sahihi kati ya yale uliyopewa.

Halima ___16___ darasa la nne. Shule yao ina bustani ___17___ maua. Bustani hili lina maua meupe, mekundu na ya kijani. Wanafunzi humwagilia ___18___ maua kila siku. Halima amejifunza mambo ya kutunza bustani la maua. Amepanda maua nyumbani kwao. Amefundisha mama ___19___ kutunza bustani hilo la maua. Nyumbani ___20___ kunapendeza.

17. Chagua neno sahihi la pengo la 17.

  1. Akwa
  2. Bla
  3. Cza
  4. Dna

Answer

B. la

Kifungu kinatumia "bustani hili" na "bustani hilo", kwa hivyo tunasema "bustani la maua".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test