CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam: Revision 3 Kiswahili Karatasi 1
Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi, Kuandika.
All 50 questions with answers
- Question 1: Soma kifungu kifuatacho kisha uiibu swali Ia I Mtoto anapozaliwa huwa mchanga kiwango cha cha kutojimudu. Kila mara kile ajuacho huwa m…Answer: C. Akili yake huwa changa
- Question 2: Mtoto huwezaje kutambua mama ua mikono yake?Answer: B. Hutumia hisia za maumbile
- Question 3: Jambo gani haliwezi kumfanya mtoto kulia kulingana na habari?Answer: D. Akibebwa na mama
- Question 4: Mwandishi amesema kuwa akili ya mtotQ huwa kama karatasi nyeupeAnswer: C. hakuna ajualo kuhusu elimu
- Question 5: Mtoto huanza kupewa chakula afikapo umri Mbona mtoto hufungwa kimori?Answer: C. Kuzuia nguo alizovaa kuchafuka
- Question 6: Mtoto huanza kupewa chakula afikapo umri 6. Mbona mtoto hufungwa kimori?Answer: C. Kuzuia nguo alizovaa kuchafuka
- Question 7: e. Chagua methali isiyoafikiana na maelezo Takribani vyombo vyote vya kisasa hutumia kifungu hiki kuhusiana na uvumbuzi teknolojia.…Answer: D. Akili ya mtu ndiyo wazimu wake
- Question 8: teknologia. Aya ya kwanza imebainisha kuwaAnswer: D. Hakuna chombo kinachotumia teknolojia
- Question 9: Ni kipi si kifaa cha kidijitali?Answer: A. Arafa
- Question 10: Takribani vyombo vyote vya kisasa hutumia teknolojia. InamaanishaAnswer: A. Karibu vyombo vyote vya kisasa hutumia teknolojia.
- Question 11: Ni kauli gani haielezi namna teknolojia ya kisasa inavyochangia ufanisi katika jamii?Answer: D. Mabadiliko ya hali ya anga.
- Question 12: Ni wazo lipi lilizua utata hapo jadi?Answer: B. Kupendelea jinsia ya kiume kuliko ya kike
- Question 13: Nijamba*$li lilimfanya mwanaume kumbeza mwanAnswer: C. Kuamini kuwa yeye aliumbwa akiwa wa
- Question 14: Mambo mawili ambayo yalimfanya mvulana kuthaminiwa niAnswer: A. kurithi mali nakuendeleza jina la jamii
- Question 15: Ni wakati gani mwanaume aliamua kuwa na ndoa ya mitara?Answer: D. Wakati mkewe alipokosa kujifungua mtoto
- Question 16: Majukumu haya yote yalifanywa na wanawake isipokuwaAnswer: D. kupata urithi
- Question 17: Ni nini kinachoonyesha kuwa wasichana wana uwezo kuliko wavulanaAnswer: A. kuwatoajasho wavulana katika taasis za
- Question 18: Unafikiria ni kwa nini idadi ya wabunge yastahili kulingana katika pande zoteAnswer: C. kwa sababu wana uwezo sawa
- Question 19: Kulingana na ufahamu inaaminika kuwaAnswer: C. - wazee wa jadi walikuwa na wazo potovu
- Question 20: Mazungumzo haya yanafanyika lini?Answer: D. Alasiri
- Question 21: Neno nyumbani limetumika katika mazungumzo haya, kisawe chake niAnswer: C. kiamboni
- Question 22: ‘Yaani tunasoma katika gredi moja na huwezi kuni... Ni?’ Ni kiafikishi kipi kimetumika katika sentensi hii?Answer: B. Dukuduku
- Question 23: Ni kweli kusema kuwa;Answer: D. Imani na Maimuna walikuwa Shule moja
- Question 24: Viunganishi hivi vyote vimetajwa katika mazungumzo isipokuwaAnswer: D. yakini
- Question 25: Chamcha ni chakula cha wakati gani?Answer: B. Mchana
- Question 26: Dunia yetu ina ___26___ na milima, maziwa na mito.Answer: B. mabonde
- Question 27: Ni ___27___ muhimu sana kutunza.Answer: B. jukumu
- Question 28: Kila mmoja wetu ___28___ jukumu la kuhakikisha mazingira yanabaki salama.Answer: A. ana
- Question 29: Kila mmoja wetu ana jukumu la kuhakikisha mazingira ___29___ salama.Answer: A. yanaendelea
- Question 30: Hatuwezi ___30___ serikali pekee.Answer: C. kuachia
- Question 31: Mabadiliko ___31___ na kila mmoja wetu.Answer: C. yanaanza
- Question 32: Kupanda ___32___ kunasaidia kusafisha hewa.Answer: B. miti
- Question 33: Kupanda miti kunasaidia ___33___ hewa.Answer: B. kusafisha
- Question 34: Kupanda miti kunasaidia kusafisha hewa, na kutunza ___34___ ya wanyama.Answer: C. mazingira
- Question 35: ___35___ ni jukumu letu sote kulinda dunia yetu.Answer: A. Kwa kifupi
- Question 36: Nomino ukuta iko katika ngeli gani?Answer: C. U–ZI
- Question 37: Chagua sentensi iliyo katika hali timilifuAnswer: A. Mtoto hajameza wembe
- Question 38: Tambua nomino dhahania katika sentensi ifuatayo Malanka ni mtoto mwenye upendo mwingi.Answer: D. upendo
- Question 39: Ni sentensi ipi iliyotumia kivumishi cha idadi?Answer: A. Watoto wata9.Q_yejD.bia
- Question 40: Baraza ni kwa wazee kama vile ni kwa leso.Answer: B. doti
- Question 41: Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kuwakilisha kionyeshi mwafaka: ___ ndiko kuna siafu wengi.Answer: C. Huku
- Question 42: Tambua maneno yaliyopigiwa mistari katika sentensi. Kiatu ghggækimeshonwa chako bado.Answer: B. Kivumishi, kiwakilishi
- Question 43: Chagua nomino iliyo katika ngeli tofauti.Answer: B. utaji
- Question 44: Maagano "Alamsiki" hujibiwaje?Answer: A. Akheri
- Question 45: Bainisha matumizi ya mshazari katika sentensi Nesi/muuguzi alimpa mtoto dawa.Answer: C. Kuonyesha visawe
- Question 46: Ikiwajuzi ilikuwa Jumatatu, mtondogoo itakuwaAnswer: A. Jumapili
- Question 47: Kanusha: Ombati ametengeneza uji akautia kwenye birika.Answer: D. Ombati hajatengeneza uji wala hajautia
- Question 48: Tambua sentensi iliyotumia koloni.Answer: B. Tulipofika sokoni? tulinunua: Maembe,
- Question 49: Tumia kihusishi mwafaka kujaza penge. Tulipofika darasani tulimkuta mwalimu amesimama ubao.Answer: C. mbele ya
- Question 50: Ni sentensi ipi iko katika hali ya ukubwa?Answer: D. Jipira limepigwa kwa ustadi mkuu.