CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 5
Mtoto huanza kupewa chakula afikapo umri Mbona mtoto hufungwa kimori?
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 1–6
Mtoto anapozaliwa huwa mchanga kiwango cha kutojielewa. Akili yake huwa bado changa kiwango
cha kutojimudu. Kila mara kile ajuacho huwa m kilio pekee. Kilio chake huashiria mambo mengi yakiwemo
njaa, kuumwa, kuugua au kutaka kubadilishwa viwmda. Akili yake huwa kama karatasi nyeupe ambayo
haijaandikwa chochote. Huwahana habari kuhusu yale yanayoendelea duniani. Kile akijuacho ni kubebwa
na mama yake.
Jambo Ia kushangaza ni jinsi mtoto hutambua mikono ya mama yake. Mtu tofauti anapombeba hulia
kinyume na mama yake. Mtoto hutambuaje kuwa aliyembeba ndiye mama? Mtoto hana uwezo wa kufahamu
kitu anachopewa kama ni kizuri au kibaya. Yeye hufurahia tu klle anachopewa na kudhani kuwa kinafaa.
Baada ya siku kadha, mtoto huweza kujua na kuanza kutambua watu vizuri. Mtu wa kwanza
kutambuliwa ni mama yake. Wakati huo yeye huwa bubu anayefurahia na kucheka bila sababu yoyote.
Mtoto ana uwezo wa kucheka hata makosa. Akimwona mtu akilia yeye hudhani kuwa anamchekesha.
Anapofika umri wa miezi Sita, mtoto huanza kupewa chakula kama vile uji, maziwa na vyakula vingi
viororo. Mtoto bulishwa kwa kijiko baada ya kufungwa kimori ili nguo yake isichafuke. Mama huhakikisha
kuwa chakula cha mwanawe kinakuwa laini ili kisimsakame.

- AIli asisakamwe na chakula
- BKuzuia nguo za mama kuchafuka
- CKuzuia nguo alizovaa kuchafuka
- DIli chakula kiwe laini
Answer
C. Kuzuia nguo alizovaa kuchafuka
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Mtoto huanza kupewa chakula afikapo umri 6. Mbona mtoto hufungwa kimori?Question 6
- e. Chagua methali isiyoafikiana na maelezo Takribani vyombo vyote vya kisasa hutumia kifungu hiki kuhusiana na…Question 7
- teknologia. Aya ya kwanza imebainisha kuwaQuestion 8
- Ni kipi si kifaa cha kidijitali?Question 9
- Takribani vyombo vyote vya kisasa hutumia teknolojia. InamaanishaQuestion 10
- Ni kauli gani haielezi namna teknolojia ya kisasa inavyochangia ufanisi katika jamii?Question 11