CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 7
e. Chagua methali isiyoafikiana na maelezo Takribani vyombo vyote vya kisasa hutumia kifungu hiki kuhusiana na uvumbuzi teknolojia. Inamaanisha
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 7–11
Haifai mwanadamu kufanya ajizi alaa kulihali kwani ataitia taabani. Hebu wazia mwanadamu anayeishi
duniani bila kujishughulisha na masuala yanayomfaa kama vile zaraa, kutafuta mbinu za kujikinga dhidi
ya hali mbaya ya anga kwa kujitosheleza kimakao, kimavazi na kiafya.
Hii ndiyo sababu akili ya binadamu haikupumbaa na yeye mwenyewe kujikalia shambiro akingoja
yajifanye yenyewe. Hali bii ndiyo ilimfanya binadamu kutumia akili zake ndipo teknolojia ya kisasa
ilipovumbuliwa, maarifa haya ya kisayansi yamewekwa katika matumizi ya vifaa kama vile zana au mitambo
viwandani, vifaa vya kilimo, ufundi, mawasiliano na nyanja nyingine nyingi. Takribani vyombo vyote
vya kisiasa hutumia teknolojia.
Vifaa vya kidigitali vimepiga jeki utendakazi katika sekta mbalimbali. Teknolojia imesaidia katika
uzalishaji wa chakula Cha kutosha. Wakulima wamenufaika na uboreshaji wa mifugo, utabiri wa hali ya
hewa, dawa za kunyunyizia mimea kuvumbuliwa na faida kadhaa.
Mawasiliano yamerahisishwa na mtu hupata habari punde tu zinapotokea ulimwenguni. Hivi sasa
unaweza kupiga gumzo na mtu aliyejanibu za ughaibuni. Kwa kweli, kauli akili ni nywele kila mtu ana
zake humpa mwanadamu mshawasha wa kujitekelezea mambo mbalimbali yanayomrahisishia maisha

e.
Chagua methali isiyoafikiana na maelezo Takribani vyombo vyote vya kisasa hutumia
kifungu hiki kuhusiana na uvumbuzi
teknolojia. Inamaanisha
- AKaribu vyombo vyote vya kisasa hutumia
- BAkili ni mali
- CKwenda bure si kukaa bure
- DAkili ya mtu ndiyo wazimu wake
Answer
D. Akili ya mtu ndiyo wazimu wake
The correct option is D.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- teknologia. Aya ya kwanza imebainisha kuwaQuestion 8
- Ni kipi si kifaa cha kidijitali?Question 9
- Takribani vyombo vyote vya kisasa hutumia teknolojia. InamaanishaQuestion 10
- Ni kauli gani haielezi namna teknolojia ya kisasa inavyochangia ufanisi katika jamii?Question 11
- Ni wazo lipi lilizua utata hapo jadi?Question 12
- Nijamba*$li lilimfanya mwanaume kumbeza mwanQuestion 13