CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 36
Nomino ukuta iko katika ngeli gani?
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Nomino ukuta iko katika ngeli gani?
- AU–YA
- BU–I
- CU–ZI
- DLI–YA
Answer
C. U–ZI
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifuQuestion 37
- Tambua nomino dhahania katika sentensi ifuatayo Malanka ni mtoto mwenye upendo mwingi.Question 38
- Ni sentensi ipi iliyotumia kivumishi cha idadi?Question 39
- Baraza ni kwa wazee kama vile ni kwa leso.Question 40
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kuwakilisha kionyeshi mwafaka: ___ ndiko kuna siafu wengi.Question 41
- Tambua maneno yaliyopigiwa mistari katika sentensi. Kiatu ghggækimeshonwa chako bado.Question 42