CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 37
Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu
- AMtoto hajameza wembe
- BMama atalima shamba
- CYeye hula chakula kingi
- DGari linapita nje
Answer
A. Mtoto hajameza wembe
The correct option is A.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambua nomino dhahania katika sentensi ifuatayo Malanka ni mtoto mwenye upendo mwingi.Question 38
- Ni sentensi ipi iliyotumia kivumishi cha idadi?Question 39
- Baraza ni kwa wazee kama vile ni kwa leso.Question 40
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kuwakilisha kionyeshi mwafaka: ___ ndiko kuna siafu wengi.Question 41
- Tambua maneno yaliyopigiwa mistari katika sentensi. Kiatu ghggækimeshonwa chako bado.Question 42
- Chagua nomino iliyo katika ngeli tofauti.Question 43