CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 41
Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kuwakilisha kionyeshi mwafaka: ___ ndiko kuna siafu wengi.
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kuwakilisha kionyeshi mwafaka: ___ ndiko kuna siafu wengi.
- AHapa
- BHumu
- CHuku
- DHii
Answer
C. Huku
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambua maneno yaliyopigiwa mistari katika sentensi. Kiatu ghggækimeshonwa chako bado.Question 42
- Chagua nomino iliyo katika ngeli tofauti.Question 43
- Maagano "Alamsiki" hujibiwaje?Question 44
- Bainisha matumizi ya mshazari katika sentensi Nesi/muuguzi alimpa mtoto dawa.Question 45
- Ikiwajuzi ilikuwa Jumatatu, mtondogoo itakuwaQuestion 46
- Kanusha: Ombati ametengeneza uji akautia kwenye birika.Question 47