CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 45
Bainisha matumizi ya mshazari katika sentensi Nesi/muuguzi alimpa mtoto dawa.
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kuandika, Viakifishi na Mchakato wa Uandishi
Bainisha matumizi ya mshazari katika sentensi
Nesi/muuguzi alimpa mtoto dawa.
- AKuonyesha akisami
- BKuonyesha au
- CKuonyesha visawe
- DKuonyesha kinyume
Answer
C. Kuonyesha visawe
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ikiwajuzi ilikuwa Jumatatu, mtondogoo itakuwaQuestion 46
- Kanusha: Ombati ametengeneza uji akautia kwenye birika.Question 47
- Tambua sentensi iliyotumia koloni.Question 48
- Tumia kihusishi mwafaka kujaza penge. Tulipofika darasani tulimkuta mwalimu amesimama ubao.Question 49
- Ni sentensi ipi iko katika hali ya ukubwa?Question 50
- Soma kifungu kifuatacho kisha uiibu swali Ia I Mtoto anapozaliwa huwa mchanga kiwango cha cha kutojimudu. Kila mara…Question 1