CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 49
Tumia kihusishi mwafaka kujaza penge. Tulipofika darasani tulimkuta mwalimu amesimama ubao.
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Tumia kihusishi mwafaka kujaza penge.
Tulipofika darasani tulimkuta mwalimu
amesimama
ubao.
- Achini ya
- Bjuu ya
- Cmbele ya
- Dmiongoni mwa
Answer
C. mbele ya
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iko katika hali ya ukubwa?Question 50
- Soma kifungu kifuatacho kisha uiibu swali Ia I Mtoto anapozaliwa huwa mchanga kiwango cha cha kutojimudu. Kila mara…Question 1
- Mtoto huwezaje kutambua mama ua mikono yake?Question 2
- Jambo gani haliwezi kumfanya mtoto kulia kulingana na habari?Question 3
- Mwandishi amesema kuwa akili ya mtotQ huwa kama karatasi nyeupeQuestion 4
- Mtoto huanza kupewa chakula afikapo umri Mbona mtoto hufungwa kimori?Question 5