CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 50
Ni sentensi ipi iko katika hali ya ukubwa?
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Udogo na Ukubwa wa Nomino
Ni sentensi ipi iko katika hali ya ukubwa?
- AJokofu hilo lilijazwa sokoni jana.
- BJino lilikuwa likiuma lilitibiwa.
- CJoto hilo lilikuwa kali sana.
- DJipira limepigwa kwa ustadi mkuu.
Answer
D. Jipira limepigwa kwa ustadi mkuu.
The correct option is D.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Soma kifungu kifuatacho kisha uiibu swali Ia I Mtoto anapozaliwa huwa mchanga kiwango cha cha kutojimudu. Kila mara…Question 1
- Mtoto huwezaje kutambua mama ua mikono yake?Question 2
- Jambo gani haliwezi kumfanya mtoto kulia kulingana na habari?Question 3
- Mwandishi amesema kuwa akili ya mtotQ huwa kama karatasi nyeupeQuestion 4
- Mtoto huanza kupewa chakula afikapo umri Mbona mtoto hufungwa kimori?Question 5
- Mtoto huanza kupewa chakula afikapo umri 6. Mbona mtoto hufungwa kimori?Question 6