CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 46
Ikiwajuzi ilikuwa Jumatatu, mtondogoo itakuwa
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Msamiati, Methali na Tamathali za Usemi
Ikiwajuzi ilikuwa Jumatatu, mtondogoo itakuwa
- AJumapili
- BJumamosi
- CIjumaa
- DJumanne
Answer
A. Jumapili
The correct option is A.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kanusha: Ombati ametengeneza uji akautia kwenye birika.Question 47
- Tambua sentensi iliyotumia koloni.Question 48
- Tumia kihusishi mwafaka kujaza penge. Tulipofika darasani tulimkuta mwalimu amesimama ubao.Question 49
- Ni sentensi ipi iko katika hali ya ukubwa?Question 50
- Soma kifungu kifuatacho kisha uiibu swali Ia I Mtoto anapozaliwa huwa mchanga kiwango cha cha kutojimudu. Kila mara…Question 1
- Mtoto huwezaje kutambua mama ua mikono yake?Question 2