CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 47
Kanusha: Ombati ametengeneza uji akautia kwenye birika.
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Kanusha: Ombati ametengeneza uji akautia
kwenye birika.
- AOmbati hakutengeneza uji wala hakuuitia
- BOmbati hajatengeneza uji akautia kwenye
- COmbati ametengeneza uji wala kuutiakwnye
- DOmbati hajatengeneza uji wala hajautia
Answer
D. Ombati hajatengeneza uji wala hajautia
The correct option is D.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambua sentensi iliyotumia koloni.Question 48
- Tumia kihusishi mwafaka kujaza penge. Tulipofika darasani tulimkuta mwalimu amesimama ubao.Question 49
- Ni sentensi ipi iko katika hali ya ukubwa?Question 50
- Soma kifungu kifuatacho kisha uiibu swali Ia I Mtoto anapozaliwa huwa mchanga kiwango cha cha kutojimudu. Kila mara…Question 1
- Mtoto huwezaje kutambua mama ua mikono yake?Question 2
- Jambo gani haliwezi kumfanya mtoto kulia kulingana na habari?Question 3