CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 40
Baraza ni kwa wazee kama vile ni kwa leso.
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Msamiati, Methali na Tamathali za Usemi
Baraza ni kwa wazee kama vile
ni kwa
leso.
- Achane
- Bdoti
- Ckundi
- Djuzi
Answer
B. doti
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kuwakilisha kionyeshi mwafaka: ___ ndiko kuna siafu wengi.Question 41
- Tambua maneno yaliyopigiwa mistari katika sentensi. Kiatu ghggækimeshonwa chako bado.Question 42
- Chagua nomino iliyo katika ngeli tofauti.Question 43
- Maagano "Alamsiki" hujibiwaje?Question 44
- Bainisha matumizi ya mshazari katika sentensi Nesi/muuguzi alimpa mtoto dawa.Question 45
- Ikiwajuzi ilikuwa Jumatatu, mtondogoo itakuwaQuestion 46