CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 19
Kulingana na ufahamu inaaminika kuwa
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 12–19
S a a usawa wa kijinsla rmezua mija ala chunguchungu. Limeleta kero kwa wengi katika jamii
kwani waja wengi huchukulia iinsia ya kiume kuwa na uzito kuliko ile ya kike. Mawazo ya wengi ni kuwa
Maulana aliumba mwanaume kwanza kabla ya mwanamke. Hili limefanya wanaume wengi kuupendelea
na kumdharau mwanamke. Katika jamii nymgi mtoto mvulana alithammiwa kwani alichukuliwa kuwa
mrithi wa mali ya babaye na pia kuendeleza koo zao. Walielimishwa kuliko wasichana. Wake
walilazimishwa kumpata mtoto mvulana, la sivyo walipewa talaka na mwanamke mwengine kuolewa.
Vile vile kazi ya mwanamke pale ilikuwa ya ulezi, usafi, majukumu ya nyumbani na kumfurahisha
mwanaume. Wasichana kamwe hawakupewa nafasi ya kusoma.
Kizazi kipya kinayapa mawazo haya kisogo. Mtoto wa kike sasa ameanza kushirikishwa sana na wa
Eiume. Siku hlZi si ajabu kuona wanawake wakiwa na nyadhifa muhimu sana katika jamii, kiasi Cha
kuwa iku wanaume katika taasisi za juu.
KPatika taifa letu, imekuwa ikipiganiwa kuwa bunge idadi ya wanaume ilingane na wanawake. Hii
inaonyesha kuwa wanawake wana uwezo kisiasa hata ingawa siasa inadhaminiwa kuwa ni mchezo mchafu.

- Awavulana ni muhimu kuliko wasichana
- Bbunge haliwezi kuendelea bila wanawake
- C- wazee wa jadi walikuwa na wazo potovu
- Dkatika kizazi kipya wavulana bado
Answer
C. - wazee wa jadi walikuwa na wazo potovu
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Mazungumzo haya yanafanyika lini?Question 20
- Neno nyumbani limetumika katika mazungumzo haya, kisawe chake niQuestion 21
- ‘Yaani tunasoma katika gredi moja na huwezi kuni... Ni?’ Ni kiafikishi kipi kimetumika katika sentensi hii?Question 22
- Ni kweli kusema kuwa;Question 23
- Viunganishi hivi vyote vimetajwa katika mazungumzo isipokuwaQuestion 24
- Chamcha ni chakula cha wakati gani?Question 25