CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 21
Neno nyumbani limetumika katika mazungumzo haya, kisawe chake ni
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Mazungumzo ya Maswali 20–25
(Alasiri, Maimuna amemtembelea raftki yake Imani nyumbani kwao)
Maimuna:
(Kwa uchangamfu) Hujambo sahibu?
Imani:
Nafurahi kukuona, asante kunitembelea nyumbani kwetu. U hali gani lakini?
(Kwa furahalHali yangu ni nj ema. Naam. Tulihamia huku mlimani Juzi tu, mwenye nyumba
Maimuna:
alitaka kup a rangi nyumba yake.
Imani:
Akitabasamu) Kabla ya kufunga Shule hukuwa umeniambia kuwa umekuwajirani yangu.
aani tunasoma katika gredi moja na huwezi kuni
Maimuna:
Alaa! Nawe samahani basi, huenda nilisahau. Hata hivyo tutarudi Bondeni ufundi
ukikamilika.
Imani:
Haya basi ningependa unikumbushe jinsi ya kutumia viunganishi katika sentensi.
Maimuna:
Je! unakumbuka mifano gani ya viunganishi?
Imani:
(Kwa uchangamfu) Lakini, kwa sababu, ingawa, ila na vinginevyo.
Meko! Naona unakumbuka kadhaa. Twende tule na baada ya chamcha, nitakuelezea
Maimuna:
matumizi yao.
Imani:
Asante.

Neno nyumbani limetumika katika
mazungumzo haya, kisawe chake ni
- Akanisani
- Bshuleni
- Ckiamboni
- Dnyumba
Answer
C. kiamboni
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- ‘Yaani tunasoma katika gredi moja na huwezi kuni... Ni?’ Ni kiafikishi kipi kimetumika katika sentensi hii?Question 22
- Ni kweli kusema kuwa;Question 23
- Viunganishi hivi vyote vimetajwa katika mazungumzo isipokuwaQuestion 24
- Chamcha ni chakula cha wakati gani?Question 25
- Dunia yetu ina ___26___ na milima, maziwa na mito.Question 26
- Ni ___27___ muhimu sana kutunza.Question 27