CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 25
Chamcha ni chakula cha wakati gani?
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Mazungumzo ya Maswali 20–25
(Alasiri, Maimuna amemtembelea raftki yake Imani nyumbani kwao)
Maimuna:
(Kwa uchangamfu) Hujambo sahibu?
Imani:
Nafurahi kukuona, asante kunitembelea nyumbani kwetu. U hali gani lakini?
(Kwa furahalHali yangu ni nj ema. Naam. Tulihamia huku mlimani Juzi tu, mwenye nyumba
Maimuna:
alitaka kup a rangi nyumba yake.
Imani:
Akitabasamu) Kabla ya kufunga Shule hukuwa umeniambia kuwa umekuwajirani yangu.
aani tunasoma katika gredi moja na huwezi kuni
Maimuna:
Alaa! Nawe samahani basi, huenda nilisahau. Hata hivyo tutarudi Bondeni ufundi
ukikamilika.
Imani:
Haya basi ningependa unikumbushe jinsi ya kutumia viunganishi katika sentensi.
Maimuna:
Je! unakumbuka mifano gani ya viunganishi?
Imani:
(Kwa uchangamfu) Lakini, kwa sababu, ingawa, ila na vinginevyo.
Meko! Naona unakumbuka kadhaa. Twende tule na baada ya chamcha, nitakuelezea
Maimuna:
matumizi yao.
Imani:
Asante.

- AAsubuhi
- BMchana
- CUsiku
- DJioni
Answer
B. Mchana
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Dunia yetu ina ___26___ na milima, maziwa na mito.Question 26
- Ni ___27___ muhimu sana kutunza.Question 27
- Kila mmoja wetu ___28___ jukumu la kuhakikisha mazingira yanabaki salama.Question 28
- Kila mmoja wetu ana jukumu la kuhakikisha mazingira ___29___ salama.Question 29
- Hatuwezi ___30___ serikali pekee.Question 30
- Mabadiliko ___31___ na kila mmoja wetu.Question 31