naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 23

Ni kweli kusema kuwa;

From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji

Mazungumzo ya Maswali 20–25
(Alasiri, Maimuna amemtembelea raftki yake Imani nyumbani kwao)
Maimuna:
(Kwa uchangamfu) Hujambo sahibu?
Imani:
Nafurahi kukuona, asante kunitembelea nyumbani kwetu. U hali gani lakini?
(Kwa furahalHali yangu ni nj ema. Naam. Tulihamia huku mlimani Juzi tu, mwenye nyumba
Maimuna:
alitaka kup a rangi nyumba yake.
Imani:
Akitabasamu) Kabla ya kufunga Shule hukuwa umeniambia kuwa umekuwajirani yangu.
aani tunasoma katika gredi moja na huwezi kuni
Maimuna:
Alaa! Nawe samahani basi, huenda nilisahau. Hata hivyo tutarudi Bondeni ufundi
ukikamilika.
Imani:
Haya basi ningependa unikumbushe jinsi ya kutumia viunganishi katika sentensi.
Maimuna:
Je! unakumbuka mifano gani ya viunganishi?
Imani:
(Kwa uchangamfu) Lakini, kwa sababu, ingawa, ila na vinginevyo.
Meko! Naona unakumbuka kadhaa. Twende tule na baada ya chamcha, nitakuelezea
Maimuna:
matumizi yao.
Imani:
Asante.

Ni kweli kusema kuwa;

  1. AImani na Maimuna hawakujuana
  2. BImani na Maimuna waliishl pamoja
  3. CImani na Maimuna walikuwa maadui
  4. DImani na Maimuna walikuwa Shule moja

Answer

D. Imani na Maimuna walikuwa Shule moja

The correct option is D.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test