CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 14
Mambo mawili ambayo yalimfanya mvulana kuthaminiwa ni
From Test 97 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 12–19
S a a usawa wa kijinsla rmezua mija ala chunguchungu. Limeleta kero kwa wengi katika jamii
kwani waja wengi huchukulia iinsia ya kiume kuwa na uzito kuliko ile ya kike. Mawazo ya wengi ni kuwa
Maulana aliumba mwanaume kwanza kabla ya mwanamke. Hili limefanya wanaume wengi kuupendelea
na kumdharau mwanamke. Katika jamii nymgi mtoto mvulana alithammiwa kwani alichukuliwa kuwa
mrithi wa mali ya babaye na pia kuendeleza koo zao. Walielimishwa kuliko wasichana. Wake
walilazimishwa kumpata mtoto mvulana, la sivyo walipewa talaka na mwanamke mwengine kuolewa.
Vile vile kazi ya mwanamke pale ilikuwa ya ulezi, usafi, majukumu ya nyumbani na kumfurahisha
mwanaume. Wasichana kamwe hawakupewa nafasi ya kusoma.
Kizazi kipya kinayapa mawazo haya kisogo. Mtoto wa kike sasa ameanza kushirikishwa sana na wa
Eiume. Siku hlZi si ajabu kuona wanawake wakiwa na nyadhifa muhimu sana katika jamii, kiasi Cha
kuwa iku wanaume katika taasisi za juu.
KPatika taifa letu, imekuwa ikipiganiwa kuwa bunge idadi ya wanaume ilingane na wanawake. Hii
inaonyesha kuwa wanawake wana uwezo kisiasa hata ingawa siasa inadhaminiwa kuwa ni mchezo mchafu.

Mambo mawili ambayo yalimfanya mvulana
kuthaminiwa ni
- Akurithi mali nakuendeleza jina la jamii
- Bkuwapiga wasichana na kusoma zaidi
- Ckmvashinda wasichana shuleni na k
- Dkuendeleza koo na kuoa wake wengi
Answer
A. kurithi mali nakuendeleza jina la jamii
The correct option is A.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni wakati gani mwanaume aliamua kuwa na ndoa ya mitara?Question 15
- Majukumu haya yote yalifanywa na wanawake isipokuwaQuestion 16
- Ni nini kinachoonyesha kuwa wasichana wana uwezo kuliko wavulanaQuestion 17
- Unafikiria ni kwa nini idadi ya wabunge yastahili kulingana katika pande zoteQuestion 18
- Kulingana na ufahamu inaaminika kuwaQuestion 19
- Mazungumzo haya yanafanyika lini?Question 20