CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 3: Kiswahili Karatasi ya 1
Kiswahili Karatasi ya 1 · 50 questions
Topics: Kusoma na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya pili.Answer: B. Mwanadamu atanufaika na mazingira iwapo atayatunza.
- Question 2: Kauli “mazingira safi yana tija kubwa kwa binadamu” inamaanisha:Answer: A. Faida nyingi
- Question 3: Ni faida zipi mbili za miti zinazohusiana moja kwa moja na udongo na mandhari?Answer: B. Huzuia udongo usisombwe na hurembesha mazingira.
- Question 4: Kulingana na kifungu hiki, tunapaswa kuyatunza mazingira ili:Answer: D. Tuwe na afya nzuri.
- Question 5: Kauli “tutakuwa chachandu anayejipalia makaa” imetumia mbinu gani ya lugha?Answer: D. Sitiari
- Question 6: Neno “tija” lililotumiwa katika kifungu lina maana ya:Answer: B. Faida
- Question 7: Kwa mujibu wa aya ya kwanza:Answer: B. Kuku na Mwewe walithamini usuhuba wao.
- Question 8: Je, unafikiri ni jambo gani lililosababisha kutengana kwa Kuku na Mwewe?Answer: C. Uchochezi wa majirani.
- Question 9: Chagua tabia za Mwewe kulingana na kifungu hiki.Answer: A. Mwenye hasira na anayesikiliza uvumi bila kuchunguza.
- Question 10: Aya ya pili imebainisha kwamba:Answer: B. Malezi ya vifaranga yalipunguza juhudi za Kuku kutafuta chakula.
- Question 11: Kwa mujibu wa kifungu hiki, Mwewe:Answer: B. Alikasirishwa na kujeruhiwa kwa mwanawe.
- Question 12: Ni funzo gani kuhusu ushawishi wa majirani linalotokana na kifungu hiki?Answer: B. Tujihadhari na wanaotuzunguka.
- Question 13: Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.Answer: B. Ushirika ni msingi imara wa utendakazi.
- Question 14: Kulingana na kifungu hiki, ni kweli kuwa:Answer: D. Zeruzeru huketi karibu na ubao pasipo mwangaza mwingi.
- Question 15: Maana ya nahau “wamejikalia shambiro” ni kukaa:Answer: B. Bila kufanya lolote
- Question 16: Yafuatayo ni manufaa ya wenye mahitaji maalum kukaa mbele isipokuwa:Answer: C. Kuwatenga na wenzao ili wasishirikiane.
- Question 17: Maana ya neno “mtagusano” kulingana na kifungu ni:Answer: A. Mwingiliano
- Question 18: Ni mwanafunzi gani anayependa ugali na chapati pekee?Answer: B. Otieno
- Question 19: Ni vyakula vipi viwili vilivyopendwa mara nyingi zaidi kwa idadi sawa?Answer: A. Mchele na viazi
- Question 20: Ni siku gani ambapo wanafunzi wote walipendelea vyakula tofauti?Answer: A. Jumanne
- Question 21: Ni salamu gani inayofaa wakati wa asubuhi uliotajwa katika mazungumzo?Answer: B. Sabalkheri
- Question 22: Chagua nahau sahihi kukamilisha nafasi ya 22 iliyoachwa kwenye kifungu.Answer: D. Kuchapa kazi
- Question 23: Ni jambo gani ambalo Jamila anasisitiza kwa kusema “usipojiwekea akiba utajipata pabaya”?Answer: A. Kujiwekea akiba
- Question 24: Chagua methali inayofaa kujaza nafasi iliyoachwa kwenye kifungu.Answer: C. Akiba haiozi.
- Question 25: Ni kipengele gani cha kusikiliza na kuzungumza ambacho hakijabainika katika mazungumzo haya?Answer: D. Kuchachawizana wakati wa mazungumzo
- Question 26: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Answer: A. yoyote
- Question 27: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 27.Answer: A. kufanya kazi
- Question 28: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 28.Answer: A. kuyathamini
- Question 29: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.Answer: A. kuwekeza
- Question 30: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 30.Answer: A. walioelimika
- Question 31: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.Answer: B. kumudu
- Question 32: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.Answer: A. badala ya
- Question 33: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Answer: D. kukidhi
- Question 34: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Answer: A. bidii
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Answer: A. kwa
- Question 36: Chagua usemi halisi wa: Mwalimu aliwaambia kuwa iwapo wangesoma kwa bidii mwaka huo wangefaulu.Answer: B. “Mkisoma kwa bidii mwaka huu, mtafaulu,” Mwalimu alisema.
- Question 37: Ni sentensi gani iliyo na kiwakilishi cha nafsi?Answer: B. Mimi ni mwanafunzi mwenye bidii.
- Question 38: Chagua nomino iliyo katika ngeli tofauti na nyingine.Answer: D. Vitabu
- Question 39: Chagua neno ambalo ni jina la kitendo kutokana na kitenzi “cheza”.Answer: C. Mchezo
- Question 40: Chagua sentensi changamano yenye kishazi tegemezi kinachoanza kwa “ingawa”.Answer: D. Hakuwachukia marafiki zake ingawa walimkosea.
- Question 41: Kanusha sentensi ifuatayo: “Mchezaji amefunga bao la ushindi.”Answer: C. Mchezaji hajafunga bao la ushindi.
- Question 42: Chagua neno lililoambatanishwa na kiambishi cha mahali.Answer: A. Nyumba – nyumbani
- Question 43: Katika sentensi “Kesi hiyo ilileta pamoja baraza la wazee,” maneno “kesi” na “baraza” ni aina gani za nomino, mtawalia?Answer: B. Kawaida, jamii
- Question 44: Mwenzako anavutiwa na kila jambo linaloonekana kuvutia au kupendeza lakini kwa kawaida kinachovutia huweza kuwa na kasoro zake. Chagua…Answer: D. Yote yang’aayo si dhahabu.
- Question 45: Chagua sentensi yenye maana sawa na: “Ni heri nivumilie shida kuliko kuiba.”Answer: A. Afadhali nisiibe hata nikiwa na shida.
- Question 46: Maneno haya hufuatana vipi katika kamusi? i) paka ii) pesa iii) pakua iv) pakuAnswer: A. i, iv, iii, ii
- Question 47: Tegua kitendawili: “Likienda kisimani hulia, likirudi limejaa maji halilii.”Answer: B. Debe
- Question 48: Maneno yenye maana sawa au zinazokaribiana huitwaje katika Kiswahili?Answer: A. Visawe
- Question 49: Chagua neno lenye maana ya “elimisha”.Answer: A. Somesha
- Question 50: Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: ghuna na guna.Answer: A. Tamka sauti kwa mrindimo wa nyuzi sauti; toa sauti ya kuonyesha kukataa.