CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 3 · Question 42
Chagua neno lililoambatanishwa na kiambishi cha mahali.
From Kiswahili Karatasi ya 1 · 1 mark · Topic: Kusoma na Matumizi ya Lugha, Ufahamu na Sarufi
Chagua neno lililoambatanishwa na kiambishi cha mahali.
- ANyumba – nyumbani
- BNgoma – kijigoma
- CMkoba – jikoba
- DUkwato – kikwato
Answer
A. Nyumba – nyumbani
Jibu sahihi ni: Nyumba – nyumbani.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Katika sentensi “Kesi hiyo ilileta pamoja baraza la wazee,” maneno “kesi” na “baraza” ni aina gani za nomino, mtawalia?Question 43
- Mwenzako anavutiwa na kila jambo linaloonekana kuvutia au kupendeza lakini kwa kawaida kinachovutia huweza kuwa na…Question 44
- Chagua sentensi yenye maana sawa na: “Ni heri nivumilie shida kuliko kuiba.”Question 45
- Maneno haya hufuatana vipi katika kamusi? i) paka ii) pesa iii) pakua iv) pakuQuestion 46
- Tegua kitendawili: “Likienda kisimani hulia, likirudi limejaa maji halilii.”Question 47
- Maneno yenye maana sawa au zinazokaribiana huitwaje katika Kiswahili?Question 48