CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 3 · Question 44
Mwenzako anavutiwa na kila jambo linaloonekana kuvutia au kupendeza lakini kwa kawaida kinachovutia huweza kuwa na kasoro zake. Chagua methali utakayotumia…
From Kiswahili Karatasi ya 1 · 1 mark · Topic: Kusoma na Matumizi ya Lugha, Ufahamu na Sarufi
Mwenzako anavutiwa na kila jambo linaloonekana kuvutia au kupendeza lakini kwa kawaida kinachovutia huweza kuwa na kasoro zake. Chagua methali utakayotumia kumtahadharisha.
- ANazi haishindani na jiwe.
- BYajapo yapokee.
- CUzoefu ndiye mama wa maarifa.
- DYote yang’aayo si dhahabu.
Answer
D. Yote yang’aayo si dhahabu.
Jibu sahihi ni: Yote yang’aayo si dhahabu.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi yenye maana sawa na: “Ni heri nivumilie shida kuliko kuiba.”Question 45
- Maneno haya hufuatana vipi katika kamusi? i) paka ii) pesa iii) pakua iv) pakuQuestion 46
- Tegua kitendawili: “Likienda kisimani hulia, likirudi limejaa maji halilii.”Question 47
- Maneno yenye maana sawa au zinazokaribiana huitwaje katika Kiswahili?Question 48
- Chagua neno lenye maana ya “elimisha”.Question 49
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: ghuna na guna.Question 50