naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 3 · Question 45

Chagua sentensi yenye maana sawa na: “Ni heri nivumilie shida kuliko kuiba.”

From Kiswahili Karatasi ya 1 · 1 mark · Topic: Kusoma na Matumizi ya Lugha, Ufahamu na Sarufi

Chagua sentensi yenye maana sawa na: “Ni heri nivumilie shida kuliko kuiba.”

  1. AAfadhali nisiibe hata nikiwa na shida.
  2. BNiliiba kwa vile sikuwa na uvumilivu.
  3. CNi bora niibe nikiwa na shida.
  4. DNisingekuwa na uvumilivu nisingeiba.

Answer

A. Afadhali nisiibe hata nikiwa na shida.

Jibu sahihi ni: Afadhali nisiibe hata nikiwa na shida.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test