CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 3 · Question 47
Tegua kitendawili: “Likienda kisimani hulia, likirudi limejaa maji halilii.”
From Kiswahili Karatasi ya 1 · 1 mark · Topic: Kusoma na Matumizi ya Lugha, Ufahamu na Sarufi
Tegua kitendawili: “Likienda kisimani hulia, likirudi limejaa maji halilii.”
- AGari
- BDebe
- CGari moshi
- DKiti
Answer
B. Debe
Jibu sahihi ni: Debe.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Maneno yenye maana sawa au zinazokaribiana huitwaje katika Kiswahili?Question 48
- Chagua neno lenye maana ya “elimisha”.Question 49
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: ghuna na guna.Question 50
- Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya pili.Question 1
- Kauli “mazingira safi yana tija kubwa kwa binadamu” inamaanisha:Question 2
- Ni faida zipi mbili za miti zinazohusiana moja kwa moja na udongo na mandhari?Question 3