CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 3 · Question 41
Kanusha sentensi ifuatayo: “Mchezaji amefunga bao la ushindi.”
From Kiswahili Karatasi ya 1 · 1 mark · Topic: Kusoma na Matumizi ya Lugha, Ufahamu na Sarufi
Kanusha sentensi ifuatayo: “Mchezaji amefunga bao la ushindi.”
- AMchezaji hatafunga bao la ushindi.
- BMchezaji hafungi bao la ushindi.
- CMchezaji hajafunga bao la ushindi.
- DMchezaji hakufunga bao la ushindi.
Answer
C. Mchezaji hajafunga bao la ushindi.
Jibu sahihi ni: Mchezaji hajafunga bao la ushindi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno lililoambatanishwa na kiambishi cha mahali.Question 42
- Katika sentensi “Kesi hiyo ilileta pamoja baraza la wazee,” maneno “kesi” na “baraza” ni aina gani za nomino, mtawalia?Question 43
- Mwenzako anavutiwa na kila jambo linaloonekana kuvutia au kupendeza lakini kwa kawaida kinachovutia huweza kuwa na…Question 44
- Chagua sentensi yenye maana sawa na: “Ni heri nivumilie shida kuliko kuiba.”Question 45
- Maneno haya hufuatana vipi katika kamusi? i) paka ii) pesa iii) pakua iv) pakuQuestion 46
- Tegua kitendawili: “Likienda kisimani hulia, likirudi limejaa maji halilii.”Question 47