CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 3 · Question 40
Chagua sentensi changamano yenye kishazi tegemezi kinachoanza kwa “ingawa”.
From Kiswahili Karatasi ya 1 · 1 mark · Topic: Kusoma na Matumizi ya Lugha, Ufahamu na Sarufi
Chagua sentensi changamano yenye kishazi tegemezi kinachoanza kwa “ingawa”.
- AMkutano ulioandaliwa shuleni umeleta manufaa mengi.
- BNilimwita mjomba wangu lakini hakuitika.
- CShangazi alinunua mbuzi.
- DHakuwachukia marafiki zake ingawa walimkosea.
Answer
D. Hakuwachukia marafiki zake ingawa walimkosea.
Jibu sahihi ni: Hakuwachukia marafiki zake ingawa walimkosea.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi ifuatayo: “Mchezaji amefunga bao la ushindi.”Question 41
- Chagua neno lililoambatanishwa na kiambishi cha mahali.Question 42
- Katika sentensi “Kesi hiyo ilileta pamoja baraza la wazee,” maneno “kesi” na “baraza” ni aina gani za nomino, mtawalia?Question 43
- Mwenzako anavutiwa na kila jambo linaloonekana kuvutia au kupendeza lakini kwa kawaida kinachovutia huweza kuwa na…Question 44
- Chagua sentensi yenye maana sawa na: “Ni heri nivumilie shida kuliko kuiba.”Question 45
- Maneno haya hufuatana vipi katika kamusi? i) paka ii) pesa iii) pakua iv) pakuQuestion 46