CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 3 · Question 21
Ni salamu gani inayofaa wakati wa asubuhi uliotajwa katika mazungumzo?
From Kiswahili Karatasi ya 1 · 1 mark · Topic: Kusoma na Matumizi ya Lugha, Ufahamu na Sarufi
(Gakano na Jamila wanakutana saa nne asubuhi nje ya duka la kuuza nguo.)
Gakano: (Kwa tabasamu) Hujambo rafiki yangu?
Jamila: (Akitikisa kichwa) Sijambo ndugu. Habari za utokako?
Gakano: Kwema, mahitaji ndiyo mengi. Riziki yote anayojitafutia mtu huyeyukia kukidhi mahitaji.
Jamila: Kwa kweli unapaswa [22] ili uweze kufanikiwa maishani. Ama vipi, Gakano?
Gakano: (Akitikisa kichwa kukubaliana naye) Kweli kabisa. Kumbuka kuwa wahenga walisema [24].
Jamila: Umegonga ndipo. Hakika usipojiwekea akiba utajipata pabaya. Juzi mtoto wa jirani alitumwa karo shilingi elfu tano. Akaona mwokozi ni mimi. Nilihuzunika sana. Baada ya kunieleza hali yake na uchochole wa wazazi wake, niliingia kwenye akiba yangu na kumpatia hela hizo. Alinishukuru na akatoka mbio kuelekea shuleni.
Gakano: Mungu akujalie. Kuna familia zinazojiweza kifedha.
Jamila: Naam!
Gakano: Wasemao babu umebarikiwa sana.
Jamila: (Kwa furaha) Hakika.

- AMasalkheri
- BSabalkheri
- CShikamoo
- DChewa
Answer
B. Sabalkheri
Jibu sahihi ni: Sabalkheri.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua nahau sahihi kukamilisha nafasi ya 22 iliyoachwa kwenye kifungu.Question 22
- Ni jambo gani ambalo Jamila anasisitiza kwa kusema “usipojiwekea akiba utajipata pabaya”?Question 23
- Chagua methali inayofaa kujaza nafasi iliyoachwa kwenye kifungu.Question 24
- Ni kipengele gani cha kusikiliza na kuzungumza ambacho hakijabainika katika mazungumzo haya?Question 25
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Question 26
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 27.Question 27