CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026: Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha)
Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Safari na Rukia walipatana ukumbini wakati upi?Answer: B. Jioni
- Question 2: Safari alifika mapema kwa sababuAnswer: D. aliyethamini maonyesho ya kitamaduni.
- Question 3: Kulingana na mazungumzo, ni yapi manufaa ya maonyesho haya?Answer: A. Kuburudisha na kukuza umoja wa kitaifa.
- Question 4: Malipo yaliyotajwa katika kifungu hiki niAnswer: C. Kiingilio
- Question 5: Ni kweli kusema kuwa Rukia na Safari niAnswer: B. ndugu.
- Question 6: Katika aya ya kwanza tunatambua kuwa;Answer: C. Sherehe iliandaliwa nyumbani kwa akina mwandishi.
- Question 7: Kulingana na kifungu, Johana na Johari walifanya harusi mwezi gani?Answer: A. Mwezi ujao
- Question 8: Bila kutumia kamusi, tambua neno lenye maana sawa na neno "tabasamu."Answer: B. cheka
- Question 9: Ni methali gani iliyotumika katika kifungu inayoonyesha umuhimu wa ushirikiano?Answer: B. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
- Question 10: Tambua jibu linaloonyesha mfuatano wa matukio namna yalivyojitokeza katika kifungu.Answer: B. Watu kukusanyika, mama na babu kutoa hotuba, watoto kucheza, sherehe kukamilika.
- Question 11: Miwa ni mimeaAnswer: C. inayotegemewa na wengi.
- Question 12: Baadhi ya maradhi yanayoweza kuzuiwa na sharubati ya miwa niAnswer: D. kansa.
- Question 13: Chagua jibu sahihi.Answer: B. Miwa hutumiwa kutengeneza sukari.
- Question 14: Kulingana na taarifa, sukari hutumiwa katika sehemu zifuatazo isipokuwaAnswer: A. shuleni.
- Question 15: Eleza maana ya sharubati jinsi ilivyotumika katika makala haya.Answer: B. Maji yanayotokana na miwa.
- Question 16: Tumbili ni wanyama (16) ___ katika pori (17) ___...Answer: B. wanaoishi
- Question 17: ...katika pori (17) ___...Answer: D. zetu
- Question 18: ...ingawa wengi wana ngozi ya (18) ___...Answer: A. kijivu
- Question 19: ...wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi.Answer: C. wengine
- Question 20: Wao hupenda kuchupia miti (20) ___.Answer: D. mirefu
- Question 21: Chagua wingi wa sentensi ifuatayo: Maziwa ya ng'ombe wangu ni matamu.Answer: B. Maziwa ya ng'ombe zangu ni matamu.
- Question 22: Tambua umbo linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Answer: D. D. Chafu, Kubwa
- Question 23: Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi. ___ aliniazima kalamu yake jana.Answer: B. Yeye
- Question 24: Chagua neno la heshima lililotumika katika sentensi ifuatayo. Profesa Maji Marefu ni mtaalamu wa siha na maumbile ya mwanadamu.Answer: B. Profesa
- Question 25: Mama alipanga nguo katika sanduku. Aliondoka akaenda kuchota maji mtoni. Aliporudi, akampata mtoto ameondoa nguo zote kutoka kwenye…Answer: A. Pangua
- Question 26: Kanusha: Gari lingetengenezwa tungesafiri.Answer: B. Gari lisingetengenezwa tusingesafiri.
- Question 27: Kufa moyo ni msemo unaomaanisha;Answer: D. Kupoteza matumaini.
- Question 28: Kipi si kisawe cha neno "adabu"?Answer: A. Utungu
- Question 29: Kamilisha methali ifuatayo: Umoja ni nguvu, ___.Answer: C. utengano ni udhaifu
- Question 30: Tarbia ni shairi la mishororo ___ katika kila ubeti.Answer: C. minne