naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 12

Baadhi ya maradhi yanayoweza kuzuiwa na sharubati ya miwa ni

From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Miwa ni mojawapo ya mimea inayotegemewa na watu wengi. Kuna wale wanaoitumia kutengeneza sharubati. Je, unafahamu kuwa sharubati inayotokana na miwa inaweza kuzuia magonjwa kama vile kansa?

Asilimia kubwa ya miwa inayokuzwa ulimwenguni hutumiwa kutengeneza sukari inayotumiwa nyumbani, hotelini na viwandani. Watu wengi hupenda kunywa chai moto iliyotiwa sukari hasa baridi inapozidi. Hata hivyo, wapo wanaopenda asali badala ya sukari. Je, unapenda asali ikitiwa katika chai?

Baadhi ya maradhi yanayoweza kuzuiwa na sharubati ya miwa ni

  1. Akisukari.
  2. Bmafua.
  3. Cmalaria.
  4. Dkansa.

Answer

D. kansa.

Kifungu kinasema sharubati ya miwa "inaweza kuzuia magonjwa kama vile kansa."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test