CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 18
...ingawa wengi wana ngozi ya (18) ___...
From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vivumishi vya Rangi
Tumbili ni wanyama (16) ___ katika pori (17) ___, ingawa wengi wana ngozi ya (18) ___, wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi. Wao hupenda kuchupia miti (20) ___.
...ingawa wengi wana ngozi ya (18) ___...
- Akijivu
- Bsamawati
- Ckijani
- Dzambarau
Answer
A. kijivu
Tumbili wengi wana ngozi ya rangi ya "kijivu" (grey) -- rangi inayolingana na uhalisia wa wanyama hawa.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- ...wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi.Question 19
- Wao hupenda kuchupia miti (20) ___.Question 20
- Chagua wingi wa sentensi ifuatayo: Maziwa ya ng'ombe wangu ni matamu.Question 21
- Tambua umbo linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Question 22
- Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi. ___ aliniazima kalamu yake jana.Question 23
- Chagua neno la heshima lililotumika katika sentensi ifuatayo. Profesa Maji Marefu ni mtaalamu wa siha na maumbile ya…Question 24