CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 19
...wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi.
From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi Visivyo na Kikomo
Tumbili ni wanyama (16) ___ katika pori (17) ___, ingawa wengi wana ngozi ya (18) ___, wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi. Wao hupenda kuchupia miti (20) ___.
...wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi.
- Azingine
- Bmwingine
- Cwengine
- Dnyingine
Answer
C. wengine
"Wapo wengine wachache" -- "wengine" ndicho kiwakilishi sahihi cha ngeli ya WA (watu/wanyama, wingi).
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Wao hupenda kuchupia miti (20) ___.Question 20
- Chagua wingi wa sentensi ifuatayo: Maziwa ya ng'ombe wangu ni matamu.Question 21
- Tambua umbo linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Question 22
- Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi. ___ aliniazima kalamu yake jana.Question 23
- Chagua neno la heshima lililotumika katika sentensi ifuatayo. Profesa Maji Marefu ni mtaalamu wa siha na maumbile ya…Question 24
- Mama alipanga nguo katika sanduku. Aliondoka akaenda kuchota maji mtoni. Aliporudi, akampata mtoto ameondoa nguo zote…Question 25