CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 24
Chagua neno la heshima lililotumika katika sentensi ifuatayo. Profesa Maji Marefu ni mtaalamu wa siha na maumbile ya mwanadamu.
From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Chagua neno la heshima lililotumika katika sentensi ifuatayo.
Profesa Maji Marefu ni mtaalamu wa siha na maumbile ya mwanadamu.
- AMaji Marefu
- BProfesa
- CMtaalamu
- DSiha
Answer
B. Profesa
"Profesa" ni cheo/neno la heshima linalotumika kumtambulisha mtu mwenye shahada ya juu kitaaluma.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Mama alipanga nguo katika sanduku. Aliondoka akaenda kuchota maji mtoni. Aliporudi, akampata mtoto ameondoa nguo zote…Question 25
- Kanusha: Gari lingetengenezwa tungesafiri.Question 26
- Kufa moyo ni msemo unaomaanisha;Question 27
- Kipi si kisawe cha neno "adabu"?Question 28
- Kamilisha methali ifuatayo: Umoja ni nguvu, ___.Question 29
- Tarbia ni shairi la mishororo ___ katika kila ubeti.Question 30