CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 23
Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi. ___ aliniazima kalamu yake jana.
From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi Nafsi
Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi.
___ aliniazima kalamu yake jana.
- AWao
- BYeye
- CWewe
- DNyinyi
Answer
B. Yeye
"Yeye aliniazima kalamu yake" -- "yeye" (nafsi ya tatu umoja) ndiye anayeweza kuazima "kalamu yake" (umoja).
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno la heshima lililotumika katika sentensi ifuatayo. Profesa Maji Marefu ni mtaalamu wa siha na maumbile ya…Question 24
- Mama alipanga nguo katika sanduku. Aliondoka akaenda kuchota maji mtoni. Aliporudi, akampata mtoto ameondoa nguo zote…Question 25
- Kanusha: Gari lingetengenezwa tungesafiri.Question 26
- Kufa moyo ni msemo unaomaanisha;Question 27
- Kipi si kisawe cha neno "adabu"?Question 28
- Kamilisha methali ifuatayo: Umoja ni nguvu, ___.Question 29