CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 27
Kufa moyo ni msemo unaomaanisha;
From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nahau na Misemo
Kufa moyo ni msemo unaomaanisha;
- AMoyo kutofanya kazi.
- BKupoteza uhai.
- CKuwa na moyo mgumu.
- DKupoteza matumaini.
Answer
D. Kupoteza matumaini.
"Kufa moyo" ni msemo unaomaanisha kupoteza matumaini/kukata tamaa.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kipi si kisawe cha neno "adabu"?Question 28
- Kamilisha methali ifuatayo: Umoja ni nguvu, ___.Question 29
- Tarbia ni shairi la mishororo ___ katika kila ubeti.Question 30
- Safari na Rukia walipatana ukumbini wakati upi?Question 1
- Safari alifika mapema kwa sababuQuestion 2
- Kulingana na mazungumzo, ni yapi manufaa ya maonyesho haya?Question 3