CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 30
Tarbia ni shairi la mishororo ___ katika kila ubeti.
From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi
Tarbia ni shairi la mishororo ___ katika kila ubeti.
- Amitatu
- Bmiwili
- Cminne
- Dmitano
Answer
C. minne
Tarbia ni aina ya shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Safari na Rukia walipatana ukumbini wakati upi?Question 1
- Safari alifika mapema kwa sababuQuestion 2
- Kulingana na mazungumzo, ni yapi manufaa ya maonyesho haya?Question 3
- Malipo yaliyotajwa katika kifungu hiki niQuestion 4
- Ni kweli kusema kuwa Rukia na Safari niQuestion 5
- Katika aya ya kwanza tunatambua kuwa;Question 6