naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 25

Mama alipanga nguo katika sanduku. Aliondoka akaenda kuchota maji mtoni. Aliporudi, akampata mtoto ameondoa nguo zote kutoka kwenye sanduku na kuzitawanya…

From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati wa Vitendo

Mama alipanga nguo katika sanduku. Aliondoka akaenda kuchota maji mtoni. Aliporudi, akampata mtoto ameondoa nguo zote kutoka kwenye sanduku na kuzitawanya kote-kote sakafuni.

Je, kitendo alichokifanya mtoto kinyume na alivyokuwa amefanya mama kinaitwaje?

  1. APangua
  2. BPanga
  3. CPangia
  4. DPangisha

Answer

A. Pangua

Mama alipanga nguo (kuziweka vizuri); mtoto alizitawanya -- kitendo hicho cha kinyume kinaitwa "pangua" (ku-pangua, kuharibu mpangilio).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test