CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 17
...katika pori (17) ___...
From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi Vimilikishi
Tumbili ni wanyama (16) ___ katika pori (17) ___, ingawa wengi wana ngozi ya (18) ___, wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi. Wao hupenda kuchupia miti (20) ___.
...katika pori (17) ___...
- Awetu
- Bkwetu
- Cchetu
- Dzetu
Answer
D. zetu
"Pori zetu" -- "zetu" ndicho kiwakilishi kimilikishi kinachotumika hapa kulingana na muktadha wa kifungu.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- ...ingawa wengi wana ngozi ya (18) ___...Question 18
- ...wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi.Question 19
- Wao hupenda kuchupia miti (20) ___.Question 20
- Chagua wingi wa sentensi ifuatayo: Maziwa ya ng'ombe wangu ni matamu.Question 21
- Tambua umbo linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Question 22
- Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi. ___ aliniazima kalamu yake jana.Question 23