naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 11

Miwa ni mimea

From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Miwa ni mojawapo ya mimea inayotegemewa na watu wengi. Kuna wale wanaoitumia kutengeneza sharubati. Je, unafahamu kuwa sharubati inayotokana na miwa inaweza kuzuia magonjwa kama vile kansa?

Asilimia kubwa ya miwa inayokuzwa ulimwenguni hutumiwa kutengeneza sukari inayotumiwa nyumbani, hotelini na viwandani. Watu wengi hupenda kunywa chai moto iliyotiwa sukari hasa baridi inapozidi. Hata hivyo, wapo wanaopenda asali badala ya sukari. Je, unapenda asali ikitiwa katika chai?

Miwa ni mimea

  1. Ainayokuzwa na wengi.
  2. Binayopendwa na wengi.
  3. Cinayotegemewa na wengi.
  4. Dinayojulikana na wengi.

Answer

C. inayotegemewa na wengi.

Kifungu kinaanza kwa kusema "Miwa ni mojawapo ya mimea inayotegemewa na watu wengi."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test