naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 15

Eleza maana ya sharubati jinsi ilivyotumika katika makala haya.

From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Msamiati

Miwa ni mojawapo ya mimea inayotegemewa na watu wengi. Kuna wale wanaoitumia kutengeneza sharubati. Je, unafahamu kuwa sharubati inayotokana na miwa inaweza kuzuia magonjwa kama vile kansa?

Asilimia kubwa ya miwa inayokuzwa ulimwenguni hutumiwa kutengeneza sukari inayotumiwa nyumbani, hotelini na viwandani. Watu wengi hupenda kunywa chai moto iliyotiwa sukari hasa baridi inapozidi. Hata hivyo, wapo wanaopenda asali badala ya sukari. Je, unapenda asali ikitiwa katika chai?

Eleza maana ya sharubati jinsi ilivyotumika katika makala haya.

  1. ASukari inayosagwa kwenye miwa.
  2. BMaji yanayotokana na miwa.
  3. CMaganda yatokanayo na miwa.
  4. DMajani ya miwa yaliyokauka.

Answer

B. Maji yanayotokana na miwa.

"Sharubati" katika muktadha huu ni kinywaji/maji yanayotokana na miwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test