CBC Grade 6 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 13
Chagua jibu sahihi.
From Test 1 — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Miwa ni mojawapo ya mimea inayotegemewa na watu wengi. Kuna wale wanaoitumia kutengeneza sharubati. Je, unafahamu kuwa sharubati inayotokana na miwa inaweza kuzuia magonjwa kama vile kansa?
Asilimia kubwa ya miwa inayokuzwa ulimwenguni hutumiwa kutengeneza sukari inayotumiwa nyumbani, hotelini na viwandani. Watu wengi hupenda kunywa chai moto iliyotiwa sukari hasa baridi inapozidi. Hata hivyo, wapo wanaopenda asali badala ya sukari. Je, unapenda asali ikitiwa katika chai?

- ASharubati haiwezi kuzuia magonjwa.
- BMiwa hutumiwa kutengeneza sukari.
- CWatu hupenda chai baridi iliyotiwa sukari.
- DWapo wanaopenda sukari badala ya asali.
Answer
B. Miwa hutumiwa kutengeneza sukari.
Kifungu kinasema wazi kuwa asilimia kubwa ya miwa hutumiwa kutengeneza sukari.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na taarifa, sukari hutumiwa katika sehemu zifuatazo isipokuwaQuestion 14
- Eleza maana ya sharubati jinsi ilivyotumika katika makala haya.Question 15
- Tumbili ni wanyama (16) ___ katika pori (17) ___...Question 16
- ...katika pori (17) ___...Question 17
- ...ingawa wengi wana ngozi ya (18) ___...Question 18
- ...wapo (19) ___ wachache wenye ngozi nyeusi.Question 19