CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026: Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026
Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 50 questions
Topics: Fasihi, Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kulingana na aya ya kwanzaAnswer: D. wakazi walistawi kwa uongozi wa Mwamba.
- Question 2: Si kweli kusema kuwaAnswer: C. jamii ya Mwamba ilikuwa na mabinti wazuri
- Question 3: Wakazi wa nchi ya MavunoAnswer: D. waliwapenda wageni.
- Question 4: Maneno 'alicheka hadi mbavu zikavunjika' yametumia mbinu gani ya lugha?Answer: B. Uhuishaji
- Question 5: Kwa nini wazee wa Mavuno hawakumbariki Mwamba?Answer: A. Alipuuza utamaduni wao.
- Question 6: Ni sifa ipi haiambatani na mienendo ya Mwamba kati ya hizi?Answer: C. Mtiifu
- Question 7: Mwamba alipokuwa akirudi nyumbaniAnswer: C. aliwashinda maadui akaimba nyimbo za ushindi
- Question 8: Chagua methali ifaayo zaidi kujumuisha ujumbe wa hadithi hii.Answer: B. Baada ya dhiki ni faraja.
- Question 9: Neno azma limetumika katika kifungu hiki. Chagua neno jingine lenye maana sawa na hilo.Answer: B. Kusudi
- Question 10: Chagua jibu sahihi kulingana na kifungu.Answer: C. Binadamu ana wajibu wa kutunza na kuboresha maliasili.
- Question 11: Upi si mfano wa maliasili kulingana na kifungu?Answer: A. Mabwawa ya maji
- Question 12: Vitendo vya binadamu katika kifungu vinaonyesha kuwa ni mwenyeAnswer: D. tamaa.
- Question 13: Kulingana na kifungu, eneo lenye misituAnswer: B. huwa na mazingira bora ya kilimo
- Question 14: Yafuatayo ni madhara ya ukataji wa misitu isipokuwaAnswer: A. upatikanaji wa kuni na makaa
- Question 15: Iwapo maji ya mito, maziwa na bahari yatachafuliwaAnswer: D. wavuvi watakosa riziki yao.
- Question 16: Mwito wa mwandishi wa makala haya ni kuwaAnswer: B. tuwajibike katika kuhifadhi maliasili
- Question 17: Kwa jumla, kifungu hiki kinahusuAnswer: C. uhifadhi wa maliasili
- Question 18: Msemo 'kujipalia makaa' umetumiwa katika kifungu hiki. Msemo huo una maana yaAnswer: D. kujiletea shida.
- Question 19: Vijana wale walikuwa wenye nidhamu kwa kuwaAnswer: B. wanakumbuka yale waliyojifunza
- Question 20: Vifaa vya kidijitali vina manufaa gani kulingana na mazungumzo haya?Answer: A. Kufahamisha matukio mbalimbali yanayojiri.
- Question 21: Habari alizopokea babu zilimwacha katika hali gani?Answer: B. Masikitiko
- Question 22: Kifungu kimeonyesha kuwa wanaokabiliwa na msongo wa mawazoAnswer: D. hawaonyeshi dalili waziwazi.
- Question 23: Si kweli kusema kuwaAnswer: B. zamani hakukuwa na visa vyovyote vya matatizo ya kiakili
- Question 24: Mazungumzo haya yalikuwa na wahusika wangapi?Answer: A. Wanne
- Question 25: Methali 'jungu kuu halikosi ukoko' inawahimiza vijanaAnswer: A. waepuke dawa za kulevya
- Question 26: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 26 katika kifungu.Answer: C. wenye
- Question 27: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 27 katika kifungu.Answer: A. kuwasiliana
- Question 28: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 28 katika kifungu.Answer: B. Japo
- Question 29: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 29 katika kifungu.Answer: A. tashbihi
- Question 30: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 30 katika kifungu.Answer: C. mjanja
- Question 31: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 31 katika kifungu.Answer: D. iitwayo
- Question 32: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 32 katika kifungu.Answer: C. ameondoka
- Question 33: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 33 katika kifungu.Answer: D. hizi
- Question 34: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 34 katika kifungu.Answer: A. sio tu
- Question 35: Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 35 katika kifungu.Answer: B. kama
- Question 36: Chagua jawabu lililo na kihusishi cha sababu.Answer: D. Shamba hilo lililimwa na mkulima yule.
- Question 37: Bainisha sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa vitendo.Answer: A. Vijana wakielekezwa vizuri watakuwa waadilifu.
- Question 38: Kipi ni kielezi katika sentensi ifuatayo? Askari wa trafiki walilisimamisha basi hilo barabarani.Answer: C. Barabarani
- Question 39: Chagua sentensi changamano kati ya zifuatazo.Answer: C. Alishauriwa ili aijiunge na vijana wasiowajibika.
- Question 40: Andika usemi wa taarifa wa sentensi ifuatayo. “Tutajifunza kuandika insha ya maelezo kesho,” mwalimu aliwaambia wanafunzi.Answer: C. Mwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangejifunza kuandika insha ya maelezo siku iliyofuata.
- Question 41: Andika udogo wa sentensi. Mtoto huyu atacheza ngoma ile.Answer: B. Kitoto hiki kitacheza kigoma kile.
- Question 42: Maagano ‘alamsiki’ hujibiwaje?Answer: B. Inshallah
- Question 43: Andika kauli ya kutendewa ya sentensi: Mama anapika uji wa mtoto.Answer: A. Uji wa mtoto unapikwa na mama.
- Question 44: Ingia ni kwa toka kama vilivyo teleka kwaAnswer: C. telekwa
- Question 45: Maneno 'ugonjwa' na 'ubele' huorodheshwa katika ngeli ipi?Answer: D. U-U
- Question 46: Andika umoja wa sentensi ifuatayo. Mikono yao imechafuka.Answer: B. Mkono wao umechafuka.
- Question 47: Maji, maziwa na uji ni nomino zaAnswer: D. pekee.
- Question 48: Tegua kitendawili kifuatacho: Mfalme wetu hushuka kwa kelele.Answer: D. Mwangwi
- Question 49: Kipi ni kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Kaka alikuwa akiosha vyombo jikoni.Answer: C. akiosha
- Question 50: Tambulisha sentensi yenye kiwakilishi cha sifa.Answer: A. Mto huu umechafuliwa lakini ule una maji safi.