CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 41
Andika udogo wa sentensi. Mtoto huyu atacheza ngoma ile.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Udogo na Ukubwa wa Nomino
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Andika udogo wa sentensi.
Mtoto huyu atacheza ngoma ile.
- AToto hili litacheza goma lile.
- BKitoto hiki kitacheza kigoma kile.
- CKijitoto hiki kitacheza ngoma ile.
- DToto hili litacheza ngoma ile.
Answer
B. Kitoto hiki kitacheza kigoma kile.
The correct option is B: Kitoto hiki kitacheza kigoma kile.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Maagano ‘alamsiki’ hujibiwaje?Question 42
- Andika kauli ya kutendewa ya sentensi: Mama anapika uji wa mtoto.Question 43
- Ingia ni kwa toka kama vilivyo teleka kwaQuestion 44
- Maneno 'ugonjwa' na 'ubele' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Andika umoja wa sentensi ifuatayo. Mikono yao imechafuka.Question 46
- Maji, maziwa na uji ni nomino zaQuestion 47