CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 40
Andika usemi wa taarifa wa sentensi ifuatayo. “Tutajifunza kuandika insha ya maelezo kesho,” mwalimu aliwaambia wanafunzi.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Andika usemi wa taarifa wa sentensi ifuatayo.
“Tutajifunza kuandika insha ya maelezo kesho,” mwalimu aliwaambia wanafunzi.
- AMwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa watajifunza kuandika insha ya maelezo kesho.
- BMwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba walijifunza kuandika insha ya maelezo siku iliyofuata.
- CMwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangejifunza kuandika insha ya maelezo siku iliyofuata.
- DMwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangejifunza kuandika insha ya maelezo kesho.
Answer
C. Mwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangejifunza kuandika insha ya maelezo siku iliyofuata.
The correct option is C: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangejifunza kuandika insha ya maelezo siku iliyofuata.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika udogo wa sentensi. Mtoto huyu atacheza ngoma ile.Question 41
- Maagano ‘alamsiki’ hujibiwaje?Question 42
- Andika kauli ya kutendewa ya sentensi: Mama anapika uji wa mtoto.Question 43
- Ingia ni kwa toka kama vilivyo teleka kwaQuestion 44
- Maneno 'ugonjwa' na 'ubele' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Andika umoja wa sentensi ifuatayo. Mikono yao imechafuka.Question 46