CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 39
Chagua sentensi changamano kati ya zifuatazo.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Chagua sentensi changamano kati ya zifuatazo.
- AUkuta uliobomoka umejengwa tena.
- BNyanya anavipalilia viazi vyake.
- CAlishauriwa ili aijiunge na vijana wasiowajibika.
- DMjomba alikuwa akielekea mjini.
Answer
C. Alishauriwa ili aijiunge na vijana wasiowajibika.
The correct option is C: Alishauriwa ili aijiunge na vijana wasiowajibika.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika usemi wa taarifa wa sentensi ifuatayo. “Tutajifunza kuandika insha ya maelezo kesho,” mwalimu aliwaambia…Question 40
- Andika udogo wa sentensi. Mtoto huyu atacheza ngoma ile.Question 41
- Maagano ‘alamsiki’ hujibiwaje?Question 42
- Andika kauli ya kutendewa ya sentensi: Mama anapika uji wa mtoto.Question 43
- Ingia ni kwa toka kama vilivyo teleka kwaQuestion 44
- Maneno 'ugonjwa' na 'ubele' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45