CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 42
Maagano ‘alamsiki’ hujibiwaje?
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Maagano ‘alamsiki’ hujibiwaje?
- ABinuru
- BInshallah
- CAkheri
- DBuriani dawa
Answer
B. Inshallah
The correct option is B: Inshallah.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika kauli ya kutendewa ya sentensi: Mama anapika uji wa mtoto.Question 43
- Ingia ni kwa toka kama vilivyo teleka kwaQuestion 44
- Maneno 'ugonjwa' na 'ubele' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Andika umoja wa sentensi ifuatayo. Mikono yao imechafuka.Question 46
- Maji, maziwa na uji ni nomino zaQuestion 47
- Tegua kitendawili kifuatacho: Mfalme wetu hushuka kwa kelele.Question 48