CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 46
Andika umoja wa sentensi ifuatayo. Mikono yao imechafuka.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Andika umoja wa sentensi ifuatayo.
Mikono yao imechafuka.
- AMikono yake imechafuka.
- BMkono wao umechafuka.
- CMkono wake umechafuka.
- DMkono yake imechafuka.
Answer
B. Mkono wao umechafuka.
The correct option is B: Mkono wao umechafuka.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Maji, maziwa na uji ni nomino zaQuestion 47
- Tegua kitendawili kifuatacho: Mfalme wetu hushuka kwa kelele.Question 48
- Kipi ni kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Kaka alikuwa akiosha vyombo jikoni.Question 49
- Tambulisha sentensi yenye kiwakilishi cha sifa.Question 50
- Kulingana na aya ya kwanzaQuestion 1
- Si kweli kusema kuwaQuestion 2