CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 50
Tambulisha sentensi yenye kiwakilishi cha sifa.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Tambulisha sentensi yenye kiwakilishi cha sifa.
- AMto huu umechafuliwa lakini ule una maji safi.
- BMdogo atahudumiwa lakini nyinyi mtasubiri kidogo.
- CWangu amefika lakini wako atafika baadaye.
- DMwenyewe amesema kuwa hicho sio chake.
Answer
A. Mto huu umechafuliwa lakini ule una maji safi.
The correct option is A: Mto huu umechafuliwa lakini ule una maji safi.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na aya ya kwanzaQuestion 1
- Si kweli kusema kuwaQuestion 2
- Wakazi wa nchi ya MavunoQuestion 3
- Maneno 'alicheka hadi mbavu zikavunjika' yametumia mbinu gani ya lugha?Question 4
- Kwa nini wazee wa Mavuno hawakumbariki Mwamba?Question 5
- Ni sifa ipi haiambatani na mienendo ya Mwamba kati ya hizi?Question 6